Album mpya ya the weeknd inaweza kuisha hivi karibuni.
Hamu ya mashabiki kusikia album mpya kutoka kwa star wa pop the weeknd inaweza kuisha hivi karibuni . kwani star huyo amedokeza ujio wa album yake mpya kupitia ukurasa wa instagram na X (Twitter) ambayo itatoka mapema mwaka huu huku ikiwa imeambatana na movie.
Share: