Mwanamuziki kutoka afrika kusini aliyewahi kutamba nchini kutokana na matumizi yake ya lugha ya kiswahili kwenye nyimbo zake @shomadjozi ametangaza kuachana na muziki mara tu baada ya kuachia album yake mpya ya Ndi Rine
Madjoz ameawahi kutamba na ngoma kama #JohCena,#Huku na nyinginezo ambazo zote ndani yake ametumia vionjo kwa lugha ya Kiswahili.
Tuambie ni ngoma gani kutoka kwa #ShoMadjozi unayoipenda zaidi..?
Shiriki kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na uwe sehemu ya maamuzi ya mtaa/Kijiji chako kwa maendeleo ya ustawi wa eneo lako.
Cc | @ortamisemi @mohamed_mchengerwa
#MitaaInaamua #Novemba27 #NovembaYaMitaa
#STBongoUPDATES #nyumbanikwanza
Share: