S2kizzy kufanya kazi na rapa yg wa marekani

Tegemea kukutana na kazi ya Rappa kutoka Marekani yg na Producer kutoka Tanzania s2kizzy mara baada ya yeye mwenyewe kulithibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram 

S2kizzy ameshare post ya picha tofauti tofauti akiwa Studio na ujumbe uliosomeka "God is Good just received vocals and information that I will be on yg coming Album another one for the culture 

S2kizzy anaendelea kuonyesha kwa mashabiki zake namna ambavyo anaendelea kufanya kazi kubwa kwenye upande wa Production kwenye kuiwakiliisha Tanzania kimataifa

Share: