
Ruger akataa kucheza na shabiki kisa anampenzi wakati akifanya show zake huko Toronto
Msanii kutoka Nigeria Ruger amezua taharuki mara baada ya kumshusha shabiki yake aliyepanda stejini kwa lengo la kucheza nae wakati anafanya show yake huko Toronto lakini alipomwambia tu kuwa anampenzi alimshusha na kumuita mwingine
Share: