Rihanna na Asap Rocky wawaacha watu midomo wazi usiku wa British Fashion Award
Couple ya wanamuziki kutoka Marekani ambao ni wapenzi rapper Asaprocky na Rihanna kwa pamoja wametajwa kufunika upande wa fashion walipotokea kwenye red carpet ya tuzo kubwa za British Fashion Awards 2024.
Hata hivyo Rihanna alitokea kwenye onesho hilo kama sehemu ya kumuunga mkono mpenzi wake Asap rocky, ambaye alitunukiwa kwa tuzo ya “Culture Innovator Award,”
Share: