Rihanna alipwa zaidi ya bilioni 15 kutumbuiza kwenye harusi

Jumamosi iliyopita Rihanna alienda magharibi mwa India kutumbuiza kwenye sherehe ya kabla ya harusi (Pre-Wedding party) ya mtoto wa Tajiri zaidi wa Bara la Asia MukeshAmbani (mwenye utajiri wa $112 bilioni)

Inadaiwa kuwa Rihanna alilipwa kati ya dollar milion 6-9 (zaidi ya Tsh. Bilioni 15) kwa ajili ya kushusha burudani katika pre-wedding hiyo. Riri alitumbuiza nyimbo 17 zinazopendwa na mashabiki zikiwemo B*tch Better Have My Money," "We Found Love," "Where Have You Been," "Work" "Diamonds" na nyinginezo

Share: