Remix ya usipime ya black rhino kufanyika chini ya producer mr t touch

Kama ulipata nafasi ya kuisikiliza Usipime ya Black Rhino feat Dully Sykes huenda ukakutana na Remix ya wimbo huo ukifanyika chini ya Producer Mr T Touch

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Producer Touch amewasilisha wazo la Remix ya wimbo wa Rapper huyo ambao uliwahi kufanya vizuri sana enzi hizo

Mr T Touch ameweka video akiwa Studio na kwenye background inasikika beat la wimbo huo na kuandika 'ikipigwa Remix vipi'

Share: