Rayvanny na rapper wa kike wa marekani wachia shake shake

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva CHUI ray vanny ameendelea na kuachia back to back baada ya kutoa Shake Shake akiwa na Rapper kutoka Marekani dream doll 

Rayvanny ameshare wimbo huo mpya kupitia ukurasa wake wa Instagram ukiwa umefanywa na Producer bobo made it kutoka Tanzania 

Tangu mwaka huu 2024 umeanza Rayvanny amekuwa akiachia kazi zakufuatana (Back to Back) huku akiendelea kuipeperusha Bendera ya Tanzania vizuri upande wa muziki

Share: