Rayvanny hali tete atangaza anapitia magumu katika maisha yake

Msanii wa Bongofleva Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram ameshare picha ujumbe ulioshitua nyoyo za wengi mara baada ya kujifajiri na kujisemea yeye mwenyewe kuwa anapitia wakati mgumu kwasasa.

Msanii Ryvanny mara tu baada ya kutoka Wasafi amekuwa na misimu mibaya katika tasnia yake ya kimuziki na jana katika instagram yake ameweza kushiriki ujumbe akiwa tayari ameshakata tamaa ya maisha na kujipa moyo asichoke kwani maisha yamemfunza mengi na akamilza na kusema anapitia magumu sana kwasasa

Amaliza na kujipa moyo kwakujiandikia ujumbe akijiomba yeye mwenyewe asikate Tamaa katika magumu hayo anayoyapitia.


Share: