Rayvanny aweka rekodi kenya kwa kushinda tuzo 5 za east africa arts entertainment awards (eaea)

Usiku wa kuamkia leo CEO wa next level music Chui rayvanny ameiwakilisha vizuri Tanzania huko Kenya kwenye Tuzo za East Africa Arts Entertainment Awards (EAEA) baada ya kuchukua Tuzo tano (5).

Rayvanny ameibuka na Tuzo kwenye vipengele vyote ambavyo alikuwa akishindania na hii kupeleka yeye kuweka Rekodi yake mpya.

Vipengele ambavyo Rayvanny ameshinda kwenye Tuzo hizo ni kama ifuatavyo.


1. Msanii Bora wa Kiume - East Africa.

2. Album/EP bora - East Africa

3. Mwandishi bora - East Africa

4. Best lovers’ choice single - East Africa

5. Best inspirational single - East Africa

Share: