Producer trone amethibitisha kukamilika kwa album ya zuchu

Producer ambaye ametengeneza Hits kadhaa za zuchu trone amethibitisha kukamilika kwa Album ya Zuchu ambayo huenda ikatoka siku za hivi karibuni 

Trone ameshare Instagram video clip fupi akiwa na Zuchu Studio na kuweka caption ambaye imethibitisha hilo "Me and Zuchu Comfirmed the Album about to bust your speakers soon

Trone amefanya kazi kama Sukari na Zuchu ambayo ina views zaidi ya Milioni 100 kwenye YouTube ikiwa ni moja kati ya kazi zake zenye mafanikio makubwa zaidi

Ungependa kuona msanii gani anashirikishwa kwenye Album hiyo mpya ya Zuchu.

Share: