Oppenheimer yashinda tuzo saba uk

Filamu ya "Oppenheimer" imeshinda tuzo saba katika Tuzo za 77th British Academy Film Awards, ikiashiria mafanikio makubwa ya filamu hiyo ambayo ilifanya vizuri Duniani kwote.

Star wa movie hiyo Cillian Murphy alitajwa na BAFTA kuwa ni Muigizaji Bora aliyeiongoza movie hiyo, na hii inamfanya kuwa mwigizaji wa kwanza mzaliwa wa Ireland kupata tuzo hii.

Share: