Mauasama ameandika hayo katika moja ya caption zake instagram akiwa ameshare challenge ya wimbo wake mpya aliyoifanya mwanadada huyo #malaikacute , #mauasama amemaanisha zaidi kwani amemuomba kabisa Mungu kwakusema ivi " Eeeh Mungu! Huyu Dada anatembea na MWILI WA NDOTO ZANGU 🙏🙏 Natamani siku nilale niamke na haya MATIKITIKI 🤣🤣🤣🤣
Jamani @malaikacute55 unaniispaya sana 🙌
KARIAKOO Kil Konaaa 🚀🚀✈️✈️"
Share: