Nandy atangaza ujio wa hiphop remix ya dah

Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu aachie wimbo wake Dah aliomshirikisha Alikiba na kupata views zaidi ya milioni saba kwenye video ya wimbo huo YouTube Nandy ametangaza ujio wa Hip Hop Remix ya Dah 

Kupitia kwenye Ukurasa wake wa Instagram Nandy ametangaza ujio wa Remix hiyo huku akiweka wazi wasanii wa Hip Hop ambao amewashirikisha ni pamoja na Khaligraph Jones kutoka Kenya, Gnako, Stamina, Joh makini, Rosa Ree pamoja na Malume Moni Centrozone 

Wimbo huo unatoka leo unahisi ni Rapper gani atakuwa amefanya vizuri zaidi kwenye Verse yake?

Share: