Naliita kofi takatifu jada pinkett smith

Mke wa will smith, Jada amefunguka kuwa kofi alilopigwa Chriss rock katika tuzo za Oscar lilimpa mwanga wa maisha yake

Kwa mujibu wa TMZ, Jada alifunguka kuhusu kibao hicho akisema, “Sikupanga kuhudhuria tuzo za Oscar mwaka huo, lakini ninafurahi nilihudhuria," Naliita 'kofi takatifu' sasa kwa sababu mambo mengi mazuri yalikuja baada yake."

Jada alisema, "Baada ya miaka yote hiyo kujaribu kufikiria kama ningeondoka upande wa Will, ilinichukua kofi hilo kuona sitamwacha kamwe."

Share: