Mwimbaji staa wa nigeria davido ametangaza kutoa album na kuachana na mziki

Mwimbaji staa wa Nigeria Davido ametangaza kuwa Album yake ijayo baada ya ""Timeless" itakuwa ya mwisho na ataachana na Muziki ambapo Davido ameandika hayo kwenye insta story yake usiku wa kuamkia leo

Davido amendika“Nyie wote mnataka sana niwe nje ya mchezo? Sasa baada ya Album yangu inayofuata, sitafanya Muziki tena. Hivyo mtakuwa na amani.” Davido.

Mashabiki wengi wameihusisha kauli hii ya Davido na kile ambacho kilikuwa kinaendelea baina yake na Wizkid kurushia maneno kwenye mtandao wa (X) zamani Twitter

Share: