Kutokea Kondegang msanii Ibraah bado anaendeleza harakati za kuufunga mwaka na ameamua kuja na Extended playlist (EP) Yenye nyimbo saba na kuipa jina la Airpiano ambayo ameamua kuitoa siku ya kesho tarehe 6/12
Airpiano itakuwa EP yakufunga mwaka na inakolabo mbili tu moja kutoka truck namba moja aliyoipa jina la leo akiwa na boss wake Harmonize na nyingine ni truck list namba tano akiwa na DK, Shamra shamra za listerning party zitaanza leo usiku mpaka kesho katika ukumbi wa Amell in dar pssf complex.
Share: