Ndani ya Mr Right msimu mpyaa mambo mapyaa utamu kama wote ni Jumamosi hii,
Usikose kutazama kwanzia saa 4 kamili usiku live kwenye Runinga yako kupitia channel ya ST Bongo (startimes antena 161, Dish 401) mwambie mwenzio amwambie mwenzie ni episodes mpyaa za Mr right zimerudi tena.
Share: