Mistari ya wimbo wa chris brown "freak" yamkera rapa quavo

Nguli wa R&B chris brown amemkera Rapa quavo kutokana na mistari ambayo ameiandika kwenye wimbo wake "FREAK" unaopatikana kwenye Album yake 11:11 Delux kutokana na baadhi ya mistari ya wimbo wake huo kumlenga Quavo moja kwa moja 

Chris Brown kwenye moja ya lines zake ameandika F***ing my old b*tches ain’t gone make us equal Sipping that 1942 cause I don’t do no Cuervo (Quavo) Freak b*tch she like Casamigos, not the Migos.” 

Hii imeonekana kumkera sana Quavo ambaye ameachia Project mpya ambayo ameipa jina "TENDER" ikiwa ni majibu kwa Chris Brown 

Dada mkubwa karrueche anatajwa sana kuhusika kwenye hili kwani aliwahi kuwa kwenye mahusiano na Chris Brown na baadae Quavo

Share: