
The African Princess , Mke halali wa Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania, ameonesha hisia zake baada ya kutoa taarifa ya kupotelewa na pete zake za uchumba ambazo zimepotea kwemye mazingira ya kutatanisha
Nandy amepotelewa na pete zake za uchumba na ameweka wazi kuomba wapenzi wake wote, kumpa ushirikiano wakuzipata pete zake zilizo potea katika mazingiara ya sintofahamu, iwe umeokota ama ulichukua kutoka kwake bila yeye kufahamu amaa sonara yoyote ambae atakuwa amefikishiwa pete hizo basi akiweza kumpa taarifa kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijami hususani mtandao wake wa instagram @Bonyeza hapa tukupeleke moja kwa moja kwenye ukurasa wa super star OfficialNandy,kisha mtumie tarifa njia ya ujumbe wa moja kwa moja(DM) kuweza kufanikisha upatikanaji wa pete zake za ndoa. Ikumbukwe upotevu wa pete za Ndoa sio jambo ngeni kwenye jamii ,licha ya umaarufu wa Nandy jambo hili linawakuta wanandoa wengi.
Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.
#STBongoUPDATES #nyumbanikwanza