Mausama akonga nyoyo za mashabiki zake kwa kuwaletea Extended playlist,Ep yenye nyimbo tano na kuipa jina ya Experience
Burudani imefika kwa Mburudishaji na hii ni mara baada ya msanii wa bongofleva Mauasama kukata kiu ya mashabiki zake waliokuwa wakiisubiri kwa hamu na hii ni baada ya kuwapa zawadi ya ExtendPlaylist EP #theexperience yenye nyimbo tano.
Ikiwa nyimbo Tatu zinakolabo na mbili yuko peke yake
1.Feelings
2.Itakuwaje ft alikiba
3.Kiss Me
4.Kariakoo ft. Gnako, Ibraah na Jaivah
5.Poa ft. Nandy
Share: