Marioo na paula wajiachia hospitali baada ya kupata mtoto wao wa kwanza wa kike

Marioo na Paula wamebahatika kupata mtoto wao wa kwanza pamoja ambapo marioo ameonekana kufurahia sana tukio hilo kubwa kwenye maisha yake kupitia ukurasa wake wa Instagram 

Mtoto huyo kwa kike amefanya marioo kuitwa Baba na Paula kuitwa Mama huku wazazi wao wakitoa Baraka kwa wawili hao kuwa pamoja na kuanzisha maisha ya familia

marioo ameshare video clip kwa mashabiki zake kupitia IG namna ambavyo Paula alikuwa Hospital wakati akiwa mjamzito kabla ya kujifungua

Share: