MAMA MKUU WA BONGO FLEVA LADY JAYDEE  KUZINDUA KITABU CHAKE LEO

Tarehe 12 ya mwezi wa sita mwaka huu 2025,inajengwa historia na mama wa muziki wa bongo flever,Judith Wambura Mbibo maarufu sana kwa majina Jidejaydee ,anafanya tukio hambalo halito saulika ,leo Juni 12 atafanya shuguli kubwa ,maadhimisho ya Silver Jubilee ya super star huyo

Jide atazindua  kitabu cha simuliziya maisha yake kinachiitwa "Diary ya JayDee" ndani ya ukumbi wa burudani wa kimataifa mjini Dar es salaam ,The super Dome Masaki na hii ni kwa waaalikwa tu, wengine tuna bidi tuwe watazamaji na kuahakikisha tunakipata nakala yako ya kitabu hichi cha Diary  ya JayDee .


Siku ya ijumaa yan siku ya pili yake baada ya uzinduzi wa kitabu cha Jide ,June 13 2025 sasa hii ndio itakuwa siku mahususi kwajili ya tamasha la silver (silver concert) ya  jay dee ,pale pale masaki kwenye ukumbi wa super Dome ,tamasha hili litajengwa historia ya burudani ya kipekee ambapo komando Jide atasinsikizwa na magwiji wa muziki,AY, Fid Q, Joh Makini, Papii Kocha ,Domokaya,Wakazi,Rapcha,Frida Amani,Malkia Karen na wengine wakutosha.



Tikets zimebaki chache  na unaweza kuzipata Nyumbani Lounge,Namanga,Break Point za kinindoni na Makumbusho,au unaweza zipata wa njia ya kisasa kabisa ,ingia kwenye search engine yako mfano google  kisha andika Tukio Lady JayDee, KIngilio ni kwanzia  elfu hamsini na kwa wale watu wazito wadau muhimu sana yan VVIP na VIP zipo tiketi na nafasi maalum kwajili yenu kwa shilingi laki mbili na hamsini 500,000 kwa thamni ya pesa ya Tanzania .


Share: