Tukiongelea kuhusu Sanamu tunaongelea hili sasa kutoka kwa #letitiwright Wengi mnamjua kama #shuri ndani ya #blackpanther Muigizaji huyo amejengewa sanamu/Waxwork (sanamu za nta) tatu na zimewekwa katika makumbusho matatu tofauti ya #madametaussauds ambapo moja limewekwa #amsterdam (Nerthland) jingine #USA na jingine #sydney (italy)