Kanye west amefunguliwa mashtaka kwa tuhuma za ubaguzi na unyanyasaji

Kanye West amefunguliwa mashtaka na aliyekuwa Mfanyakazi katika Shule yake ya 'Donda Academy' iliyopo Los Angeles, kwa tuhuma za Ubaguzi na Unyanyasaji.

Trevor Philips amedai Kanye alikuwa akiwabagua Wafanyakazi wenye ngozi nyeusi. Pia, anadai Kanye aliwaamuru Wanafunzi kunyoa upara na kutaka kujenga Vyumba vya Shule kama jela.

Mwaka 2022 Kanye alishtakiwa kutokana na Mazingira mabovu ya Shule ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa Madirisha ya Vioo. 

Share: