JUX AGEUKA TISHIO NCHINI NIGERIA

Msanii Juma Jux, mwenye ngoma zenye umaarufu mkubwa nchini Tanzania, Africa na ulimwenguni kwa ujumla ,Ameingia kwakishindo nchini Nigeria ..

Ikubukwe kuwa Jux ameoa harusi ya kufana sana mtoto mzuri wa kinaijeria anae famika  kwa majina Priscilla Ajoke ,ndio chachu extended playlist (EP) yenye ngoma kali zisizo pugua  nyimbo saba zenye mistari na miondoko tofauti ,'SI Mimi', My shayla ,Celebrations ,God desing  na nyingine tatu .


Jux aliweka wazi kuwa EP hiyo ni maalumu kwa mkewe Priscilla Ajoke ikiwa kama kumbukumbu ya harusi yao. Msanii wetu huyu ameendelea kushika namba  moja kwenye chati mbali mbali za muziki nchini Nigeria mpaka Ghana.

Ungana nasi kupitia kisumbuzi @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.


#STBongoUpdates #NyumbaniKwanza

Share: