
Spotify ni huduma ya utiririshaji wa muziki (music streaming service) maarufu duniani, inayowawezesha watumiaji kusikiliza mamilioni ya nyimbo, podcast, na maudhui ya sauti mtandaoni bila kuhitaji kupakua faili.
Chati za Spotify ni orodha rasmi za nyimbo zinazofanya vizuri zaidi kwenye jukwaa la Spotify, zikitolewa kila wiki na kutumika na wasanii, mashabiki, na wataalamu wa muziki kufuatilia mwenendo wa muziki duniani. Chati hizi zinajumuisha nyimbo maarufu kulingana na idadi ya mara zinazochezwa (streams), na mara nyingi hutumika kama kipimo cha mafanikio ya nyimbo na wasanii.
Ungana nasi kupitia kisumbuzi @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.
#STBongoUpdates #NyumbaniKwanza
c
Mwimbaji wa muziki Jin kutoka kundi la BTS ametikisa ile mbaya chati za jukwaa la spotify duniani , Kupitia wimbo wake mpya "Dont' Say you love Me" umepanda kwenye chati za kila siku na kushika nafasi ya kwanza.