Harmonize na marioo waachia ngoma mpya disconect

Konde Boy Harmonize na Toto Bad Marioo wameona wakiungana kwenye ngoma ya pamoja lazima watoe Hit Song, ambapo kwa sasa wamekuja na wimbo mwingine wa pamoja ili kuwafurahisha mashabiki zao Disconect. 

Ikumbukwe wawili hao walianza na ngoma ya pamoja 'Naogopa' wakaja na 'Away' na sasa wameungana tena kutengeneza hit nyingine, na ngoma hii ni chini ya usimamizi wa mtozi 'Producer' S2kizzy. 

Share: