Harmonize akataza kwa mara ya pili kuitwa msanii wa bongofleva

Harmonize akataza kwa mara ya pili kuitwa msanii wa bongofleva

Kondeboy Harmonize ametoa onyo kwa baadhi ya media na watu wanaomuamdika yeye ni msanii wa bongofleva na ametoa sababu kuu tatu zinazomfanya yeye apinge kuitwa msanii wa bongofleva kwani kwasasa yeye ameshavuka level za bongofleva na sababu hizo ni

1. Hakuna anayemuweza kwenye kuandika

2. Hakuna msanii aliyeimba wimbo kwa kingereza, na hakuna anayemuweza kwenye kuongea kingereza

3. Hakuna msanii mwenye Album Tano katika miaka 20 hii iliyopo

Amemaliza na kusema kwasasa anaupeleka muziki wetu kwenye level zingine na anachukua #grammy 2025


Share: