Msanii wa Muziki nchini Tanzania H BABA Ametoa maoni yake na kufunguka mengi sana yanayohusu Muziki wa Tanzania kwa upande wake na wasanii wengine wakubwa wa Bongo Fleva

H BABA Amegusia ishu ya wasanii wa Harmonize kuondoka akieleza jinsi kuna uwekezaji mdogo na ubahili ndani yake na anavyoona yeye kwa sasa isiitwe tena KONDA GANG Kwa kuwa hakuna watu wa kusema iitwe hivyo

H BABA Pia ameongelea ishu ya Hamisa Mobetto na Harmonize na kueleza kile anachokifahamu kinaendelea katikati

Share: