Eric mafanikio hayaji kwa chuki hamasisha upendo
Maneno ya busara kutoka kwa #diamondplatnumz akimwambia #ericomondi mara baada ya tukio lililotokea weekend hii Kenya baada ya msanii #willypaul kulalamika kuwa wasanii wao wanaonewa na ndipo eric omondi kuandika ujumbe uliomfanya msanii #diamondplatnumz kujibu ivyo
Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi. #STBongoUPDATES #NyumbaniKwanza
Share: