Dulla makabila afungua studio yake rasmi

Leo Nimetimiza Moja Ya Ndoto Yangu Kwenye Mziki Wangu Miaka Yote Nimekua Nikifanya Mziki Na Nilitamani Siku Moja Nimiliki Studio Yangu Mwenyewe Nashukuru Mungu Jana Mchana Nimelitimiza Hilo Tena Sio Kwa Kununua Kitu Kimoja Kimoja Nimenunua Vitu Vyote Vya Studio Kwa Pamoja Nakumbuka Kipindi Kile Nilikua Natoka Magomeni Kagera Mpaka Kimara Kwa Mguu Kuifata Studio Na Unafika Studio Unamkuta Producer Yupo Busy Na Mchumba Ataki Ata Kukuskiliza Au Yupo Na Msanii Ambae Amekuzidi Jina Hari Ambayo inapelekea Asikuzingatie Kabisa Na Ata Uyo Msanii Muda Alopewa Utakuta Anautumia Kupiga Story Tu Kiukweli Ilikua inaniumiza Na Nilijikuta Nikipitia Kipindi Na Kutamani Siku Moja Na Mimi Niwe Na Studio Yangu Na Nashukuru Mungu Leo Njmelifanikisha Acha Niseme Asante Mungu Kwa Hizi Baraka Unazoendelea Kunimiminia Asanteni Pia Mashabiki Zangu Kwa Support Mnayoendelea Kunipa Na Niwakalibishe Pia Wasanii Wenzangu Wa Singeli Na Bongo Fleva Na Wasanii Wa Miziki Mingine Yote Kwa Atakaetaka Kufanya Wimbo Kwenye Studio Yangu Basi Ruksa Wasanii Wenzangu Wa Singeli Karibuni Sana Hii Studio Ni Ya Kwenu Muda Wowote Mnkaribishwa


Na kwa Kuanzia Nitatoa Offer Ya Kurecord Kwa Wasanii 20 Wa Singeli Ambao Ni Underground Ukiwa Teyali Kufanya Wimbo Nichek DM Au Piga 0674578257 Nia Ya Kufanya Hivi Ni Kuwasupport Wasanii Wenzangu Wachanga Kama Ambavyo Mimi Nilishikwa Mkono Na Baba Angu @majizzo @samio_love @fidomgaigai @meneja_kandoro @ashamangatz Na Wengine Wengi Ambao Waliona Kipaji Ndani Yangu Na Wakawekeza Nguvu Zao Na Muda Wao Mpaka Leo Kufika Hapa Kuwa Mtumishi Wa Selikali Kitengo Cha Burudani Cha Mwisho Mama Angu @zamaradimketema Alisema Anatamani Kuimba Studio ipo Sasa Karibu Kaka Angu DC @mwijaku Njoo Tumalizie Ngoma Yetu 😂 " ameandika Dulla makabila

Share: