Diamond platnumz amemtakia heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa  jokate mwegelo

Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Jokate Mwegelo March 20 alikuwa akisheherekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa ambapo Viongozi mbalimbali na watu maarufu walimtakia heri katika siku yake hiyo muhimu

Diamond Platnumz ameitumia siku hii ya leo kumtakia heri ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwa kushare picha yake na kuandika "Jembe, mbunifu, mchapakazi Mwenyezi Mungu akubariki katika wiki yako hii ya kuzaliwa

Share: