Mr. Pimbi Yeye Bado Hataki Kuamini Kuhusu Yote anayoyaeleza Star wa Bongo Fleva Diamond Platnumz Kuhusu Private Jet Anayotaka Kununua
Diamond Platnumz ameeleza kuwa alitapelewa zaidi ya Bilioni 4 wakati anataka kununua ndege na ameipeleka kesi hiyo kwenye mahakama za kisheria na haki ili kupata suluhisho
Interview Hii yote ya Mr Pimbi Utaipata Kwenye Channel yetu ya YouTube - ST BONGO TV
Share: