Davido kununua ndege yake binafsi (private jet) hii inakuwa ndege ya tatu kumiliki

Msanii davido ameshare taarifa mpya kwa mashabiki zake kuhusiana na kununua ndege yake nyingine binafsi (Private Jet) Bombardier Gloabl 7500 ambayo ina thamani ya Dolla za kimarekani 78M sawa na Bilioni 

Davido ameshare video fupi kwenye Instagram yake akiwa na team yake 30BG wakiwa wanaitazama ndege hiyo mpya

Hii inakuwa ndege ya tatu kwa Davido kumiliki akiendelea kuwa msanii pekee Afrika ambaye anamiliki Private Jet mpaka sasa

Share: