Davido amlipia mwanafunzi wa chuo deni la mkopo wa milioni 129

Davido akiwa kwenye Show yake ambayo imefanyika kwenye ukumbi wa Madson Square Garden ameamua kumsaidi Mwanafunzi mmoja kwa kumlipia Nusu ya mkopo wake wa shule (Student Loan) mbele ya mashabiki zaidi ya elfu ishirini 

Mwanafunzi huyo alikuwa anadaiwa kiasi cha Dolla za kimarekani $103K Milioni 266 za Kitanzania na baada ya Davido kuona ujumbe wake ambao alienda nao kwenye Show akaamua kumchangia Dolla $50K Milioni 129 za Kitanzania. 

Hii sio mara ya kwanza kwa Davido kurudisha kwa jamii kupitia mashabiki kwani amekuwa na matukio ya namna hii mara kwa mara. 

Share: