Dababy awafundisha watoto wake kutumia silaha za moto (bunduki)

Dababy awafundisha watoto wake kutumia silaha za moto (bunduki)

Rapa Wa Marekani @dababy Ame-Share Video Inayoonesha Akiwafundisha Watoto Wake Jinsi Ya Kutumia Silaha (Bunduki) Ambayo Inadaiwa Kuwa Ni Ruksa Kwa Baadhi Ya Majimbo Ya Kusini Mwa Marekani.


Kibongo bongo mtoto wako umri kama huu anajua kutumia silaha gani?


Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.

Share: