CHINO LAZIMA KURUDI SHULE

Msanii chino wana man , mwenyen ufalme wake kwenye mziki wa aina ya bongo fleva amapiano amefunguka na kusema shule itamsaidia kuongeza uwezo wake wa kuimba nyimbo zitakazo weza kuchangia kuinua pato la taifa.

"Mimi shule lazima tu,kwani shule ndio minawezesha zaidi mipango na kuleta mafanikio zaidi katika maisha,naelewa bila shule mambo mengi tunakuwa tunafanya  lakini tunakosea ,mashabiki wangu wanaotamani kuniona nkirudi shule wanaamini nitafanya hivyo  kwajili ya  kuongeza  uwezo wa kazi yangu ,alisema hivyo licha ya umarufu alionao  Chino Kidd.


Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.


#STBongoUPDATES #NyumbaniKwanza

Share: