Star wa Muziki Bongo Billnass amepiga mastori na kipindi cha Spotlight na kuzungumza mastori kibao ambao watu wamekua wakiyazungumza kuhusu Familia yake na muziki wake kwa sasa

Kwa mara ya Kwanza EXCLUSIVE Nenga amesema kuwa Mtoto wake ndio mmiliki wa NENGA TRONIX na sio yeye kama wengi walivyokua wanadhani 

Nenga pia amezungumzia ishu za Mke wake NANDY na jinsi watu wamekua wakiwasema sana kwenye mitandao ya kijamii

Share: