Albamu mpya ya j cole "might delete later" jambo la kusisimua zaidi ni collaboration zilizomo ndani yake


Hii ilikuwa siku ya kushtukiza kwa mashabiki wa muziki wa hip-hop! J Cole, msanii maarufu wa rap, aliamua kutoa albamu kamili ya muziki kwa jina la "Might Delete Later".

albamu hii ina jumla ya nyimbo kumi na mbili. Lakini jambo la kusisimua zaidi ni collaboration zilizomo ndani yake. J Cole aliamua kufanya kazi na wasanii mbalimbali, kutoka kwa wale wa zamani hadi wachanga. Kati ya wasanii walioshirikishwa katika albamu hii ni pamoja na Yung Dro, Gucci Mane, Bas, Ari Lennox, Cam'ron, Central Cee, Daylyt, na Ab-Soul.

Kwa mashabiki wake walio na hamu ya kusikiliza muziki mpya wa J Cole, hii ilikuwa habari njema sana. Albamu hiyo ilizua msisimko mkubwa kwenye mitandao ya kijamii, na watu wengi walikuwa na shauku ya kujua ni nyimbo gani zilizomo ndani yake.


Share: