Adidas kuachia viatu vya bob marley

Adidas inatazamiwa kuzindua toleo maalum la viatu vya Legend wa muziki wa Reggae Bob Marley viatu vyake hivo retro SL 72 vitatolewa kwa ushirikiano a adidas na Bob Marley's estate,

Viatu hivyo vinavyo jumuisha picha na saini ya Bob Marley, vitakuwa sehemu ya safu ya Adidas ya Majira ya joto ya 2024

Ushirikiano huu unakuja baada ya historia ya ushirikiano wa Marley na Adidas, ikiwa ni pamoja na yeye kuonekana amevaa chapa na matoleo ya awali yasiyo rasmi .

Share: