Takriban watu 1,301 walifariki wakati wa hijja wengi wao wakiwa mahujaji waliotembea umbali mrefu kwenye joto kali saudi arabia