Richard slayman (62) aliyepandikizwa figo ya nguruwe ameruhusiwa kutoka hospitalini ikiwa ni siku kadhaa tu toka alipofanyiwa upasuaji huo