Marekani imeiambia israel iwe wazi kuhusu shambulizi la anga ambalo limeripotiwa kuua takribani watu 35 katika shule ya gaza