Tume ya uchaguzi ya afrika kusini imekataa ombi la kumwondoa rais wa zamani jacob zuma kama kiongozi wa chama kipya umkhonto wesizwe (mk)