Waziri mkuu wa slovakia, robert fico yupo katika hali tete kiafya baada ya kujeruhiwa katika jaribio lililolenga kukatisha uhai wake