Nchi kadhaa zimewataka raia wao kuondoka lebanon huku hofu ikiongezeka ya mzozo mkubwa katika mashariki ya kati.