Waziri jafo akutana na shirika la mazingira la korea kusini

Mhe. Dkt. Selemani Jafo amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Shirika la Mazingira la Korea (KEPO)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akifanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Shirika la Mazingira la Korea (KEPO) Dkt. Yoon, Young-bong jijini Incheon, Korea Kusini kuhusu ushirikiano katika teknolojia ya usimamizi wa taka.

Kwenye Kikao Hiki ameshiriki pia Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Togolani Mavura.

Share: