
Kuwa na Kufikia Ukuu kwa Kugundua na Kufuata Ndoto Binafsi na za Pamoja. Taasisi hii imeendelea kuwa daraja la watu wengi hususani vijana kuwawezesha kufikia malengo ya maendeleo katika maisha yao ,Uzinduzi wa vitabu umekuwa ni moja ya matukio ya tasisi hii Julai 2025 uzinduzi wa kitabu kitwacho "MY MOTHER'S INFLUNCE" umeendeleza utekelezaji ....
Wakati ambao dunia inashuhudia ukuaji wa teknolojia mbalimbali ikiwemo Akili mnemba,vijana wameaswa kutumia mabadiliko haya kwa mtindo chanya katika kuyaishi maisha katika misingi na tamaduni zinazolinda maadili kwa maslahi mapana ya taifa.
Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya @hekima_talk mhandisi @timkyara katika uzinduzi wa kitabu cha mambo 14 aliyojifunza kwa baba na mama yake .