Tarehe 29 february, hutokea mara moja tu baada ya kila miaka minne 'leap year'

Mimba iliyotungwa tarehe ya leo inatarajiwa kuzaliwa kuanzia 22 Novemba 2024

Mfalme kaisari wa roma ya kale aliagiza wataalamu wa nyoto wake kutengeneza kalenda inayoeleweka na hivi ndivyo tarehe 29 februari ilivyoibuka, baadae iliboreshwa zaidi na Papa Gregory XIII.

Februari ilipungua kutokana na ubunifu wa kaisari Augustus. Hakufurahishwa na ukweli kwamba mwezi wake - agosti - ulikuwa na siku 29 tu wakati mwezi uliopewa jina la mtangulizi wake julius - julai - ulikuwa na siku 31, Februari ikapunguziwa siku ili kufidia.

Kalenda nyingine mbali na Gregorian zinahitaji pia miaka mirefu ni pamoja na ya Kiiran, India na kalenda iliyorekebishwa ya Bangla ya Bangladesh.

Mimba iliyotungwa tarehe ya leo inatarajiwa kuzaliwa kuanzia 22 Novemba 2024, wale waliozaliwa tarehe 29 februari mimba zao zilitungwa mwaka uliopita tarehe 8 juni, Uwezekano wa mtu kuzaliwa siku ya mwaka mrefu mara nyingi hutokea mara moja kati ya 1,461

Share: